kuna imani kwamba namba saba(7) ni namba inayoambatana na bahati "nzuri". kama ambavyo wenzetu wazungu uamini kwamba tarehe 13 ya ijumaa (Friday 13th) ni siku mbaya!
Mtoto mwenye bahati alizaliwa Uingereza tarehe 7(saba), mwezi wa 7(saba), Mwaka huu wa 2007, katika wadi namba 7(saba), kitanda namba 7(saba), na mtoto wa 7(saba) katika famila yao, zaidi ya hayo baba yake ana umri wa miaka 3(7)(Saba) na hadithi hii imechapishwa kwenye ukurasa wa 7(saba) wa gazeti la The Mirror.
Pata habari kamili kupitia blogu hii kesho saa 7(saba) mchana!
The Lucky Number Seven!
Samehe 7(saba) mara 7(saba)0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment