Wednesday 7 February 2007

Misukosuko ya Bomu La Barua/ Letter Bomb Threat in UK

Miji kadhaa hapa nchini Uingereza imekumbwa na homa ya Bomu la Barua "Letter Bomb Threat". Tayari miji mitatu katika siku tatu mfululizo kumekuwapo na milipuko ya mabomu yaliyotumwa kwenye barua.
Bomu la kwanza lilipuka tarehe 5 Februari 2007 katika kitogoji cha Victoria Jijini London na kumjeruhi mama mmoja. Siku iliyofuata ya tarehe 6 Februari 2007 kukalipuka bombu lingine katika mfumo huo huo wa barua katika kitongoji cha Wokingham- Berkshire, na halafu tarehe 7 Februari 2007 kumekuwapo na mlipuko mwingine tena huko Swansea makao makuu ya ofisi za DVLA kusini mwa nchi ya Uingereza na kumjeruhi mama mmoja.

Polisi wa Uingereza bado wanafanya uchunguzi kujua ni nini hasa asili ya vitisho hivi ambavyo vinaonekana kuunganishwa na jambo fulani. Mabomu saba zaidi yameshagundulika ambayo yamekuwa yakielekezwa kwa watu fulani fulani.

Mfululizo huu wa mabomu unafananishwa na true story fulani iliyowahi kutokea huko marekani miaka ya nyuma, ambapo mtu mmoja aliamua kulipua mabomu ya aina hii kuweka msisitizo juu ya ukatili wa wanyama.

Endelea kutembelea blogu hii kwa habari zaidi

eBuy in Bongoland!

Huduma ya ebuy ni huduma ambayo inamwezesha mtu yeyote kuuza ama kununua vitu/vifaa mbali mbali kupitia njia ya mtandao (elektroniki).
Huduma hii kwa wenzetu wa nchi za magharibi ni huduma ambayo imekuwapo kwa muda sasa, ambapo watu huweza kuuza na kununua vitu kwa njia ya mtandao wakiwa wametulia nyumbani au wakiendelea na shughuli zao nyingine kama kawaida. Imefikiwa kwamba mtu huweza hata kununua vyakula kwa mahitaji ya nyumbani kwa kupitia mtandao, ambapo hufanya uchaguzi wa anachokita nakulipia kwa njia ya mtandao(online banking) na kisha huletewa vitu nyumbani. Inasemekana kwamba ebusiness/ecommerce inaelekea kuikamata dunia katika siku za usoni, kwa mtazamo wangu hali hii inapelekea kuturudisha katika zama za biashara ya kitu/vitu kwa kitu/vitu ila kwa sasa imekuwa katika mfumo wa tekilonojia mpya.Kwa mfano, kutokana na maendeleo ya sasa unapokuwa na akaunti benki unapewa kadi(swipe card), ujira wako ambao ni matokeo ya kuuza nguvu au kitu unalipwa moja kwa moja benki,nawe unapohitaji kitu/vitu unanunua kwa njia hii ya mtandao na kufanya malipo kwa njia ya kadi! Mwishoni mwa mwezi unapata "bank statement" kuonyesha mlolongo wa maelezo ya fedha ambayo pengine haikupitia mkononi mwako hata kidogo.Unaweza kuona kwamba kushika fedha hakutakuwapo tena bali ni mabadilishano tu vitu tu na fedha kutumika kama kipimo cha thamani ya nguvu, muda au vitu husika. Ni maendeleo tu ya kidunia.

Kama ilivyo kwa kila jambo kuwa na faidi na hasara zake, basi ndivyo hata pia ilivyo kwa huduma hii ambayo mara nyingine inahitaji umakini sana!

kwa ufahamu zaidi juu ya huduma hii, tembelea tovuti yao ambayo ni eBuy.co.tz au soma maelezo hapo chini kwa lugha ya kigeni!



eBuy.co.tz is the first Tanzanian's online market place , enabling
trade
on local basis. http://eBuy.co.tz offers an online platform where
hundreds
of items are traded each day.

The eBuy.co.tz Community: Is targeting more than 1-Million people
around
Tanzania and East Africa. Our users include individual buyers and
sellers,
small business and even enterprises.

To get started, Consider selling something in your home or business,
chances are that someone is looking for it on http://eBuy.co.tz.

Products available in eBuy.co.tz

1. Automotive(Used in Japan, Used in Dar es salaam)
2. Land Plots
3. Houses (for rent/for sale)
4. Computers, software & Network
5. Electronics
6. Mobile Phones & Cameras
7. and many Others....

Services Available in http://eBuy.co.tz
8. Computer services and repair (for only 12$)
9. Website Design & Hosting (only 120$)
10. Job opportunities and Tenders

How you can sell/list your products on eBuy.co.tz?
1. Your Product will be attached with your contacts including
your phone number, Location, Email & website link
2. The buyers will contact you direct for your product purchasing
3. Your products will be listed online for one month
4. Also you can visit http://eBuy.co.tz to prove existence of your
products online. 5. Fee for listing your products on http://eBuy.co.tz
is
only 10,000Tsh. Per product/month.

How you can buy products on eBuy.co.tz?
1. Just visit http://eBuy.co.tz and look for product you want to buy.
2. Then you can contact the product seller using contacts attached with
the product or You can contact http://eBuy.co.tz direct and then the
product will be delivered to your place direct after confirming the
order
(all payment done after receiving the product).
3. If you didn't find the product your looking for in http://eBuy.co.tz
,
contact us we will search the product for you and inform your soon it
available.

As per now more than 3000 visitors are visiting http://eBuy.co.tz each
day
looking for products, with please if you have a product/products to
selling contact us now, you will sell your product very fast and
professionally. Mind that when you list your product on
http://ebuy.co.tz
means your have take your product to the market while you are at home.
Also note that, http://eBuy.co.tz is accessed by people from all
regions
of Tanzania so there is a chance for you to sell your product/products
in
a very good price as your product reaching good number of people for
marketing.

Please visit http://eBuy.co.tz now and purchase the product you're
looking
for.

Sir/madam we are giving heart felt thanks for selling/buying your
products
in http://eBuy.co.tz, the very good and new online Tanzanian's
market-place.

Tuesday 6 February 2007

Africa in 2007: Issues, Priorities and Challenges, London 5th February 2007

Following the 2005 G8 Gleneagles focus on africa`s development, much optimism was generated across the world regarding prospects for Africa overcoming impediments to its growth, stability and development!

Visit www.thinkafrica.org to read more about The conference prepared by Centre for African Policy and Peace Strategy (CAPPS)